The House of Favourite Newspapers

Singida Fontaine Gate Yawaadhibu Vinara Wa Ligi Kuu Zanzibar JKU

0

Klabu ya Singida Fontaine Gate imewaadhibu vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, JKU FC ya Zanzibar jumla ya magoli 4-1 katika mchezo wa kombe la Mapinduzi uliopigwa katika dimba la Amaan Complex, Zanzibar.

JKU 1-4 Singida FG
Saleh 61’p
Rupia 17’, 47’
Kagere 80’
Kazadi 86’

WAZIRI MKENDA AVUNJA UKIMYA – “ALIYEMCHOMA MAMA VISU 25 HAKUWAHI KUWA MFANYAKAZI WANGU”….

Leave A Reply