The House of Favourite Newspapers

Singida United Yamsajili Fei Toto Nyota wa JKU

Uongozi wa Singida United kupitia mkurugenzi wake, Festo Sanga (kulia),  ukimtambulisha mchezaji  wa JKU, Feisal Salum Abdallah  ‘Fei Toto’.

TIMU ya Singida United  leo imetangaza kumsajili  mchezaji nyota wa timu ya JKU, Feisal Salum Abdallah,  maarufu kwa jina la Fei Toto,  kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya kukubaliana na JKU.

Singida United imekubaliana na JKU kufidia malipo ya mkataba wa miaka miwili uliokuwa umesalia kati ya Fei Toto na JKU, hivyo Singida imemtambulisha rasmi mchezaji huyo kama mchezaji wao rasmi.

Fei Toto akiweka wino wa miaka mitatu kuichezea Singida.

Comments are closed.