The House of Favourite Newspapers

Sonia: Wanasema Nina Sauti Kama Subaru – Video

0

MTOTO wa Staa wa filamu nchini Tanzania Monalisa aitwaye Sonia leo ameamua kuwatolea uvivu watu wanaomtukana mitandaoni kuwa ana sauti kama Subaru na kwamba ana sura kama ya Bi. Kidude.

 

Kupitia kipande cha video alichojirekodi, Sonia amesema hakuna wa kuubadilisha urembo wake kwani ndivyo alivyopewa na Mungu.

 

“Mimi mwenyewe nashangaa watu wanaosema nina sauti kama Subaru na sura kama ya Bi. Kidude, sasa mnafikiri tutafanyaje yani, hakuna namna? Kama unaona sauti yangu mbaya au sura yangu mbaya basi tuitishe harambee ili tukarekebishe.

 

“Mimi najiona bonge la pisi yani, najiona bonge la mrembo sasa nashangaa ambao hawauoni urembo huu niliyo nao,” amesema Sonia.

 

MSIKILIZE HAPA

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply