The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: Mwenyekiti mpya wa YANGA ni Huyu Hapa! – VIDEO

KIPINDI cha Spoti Hausi leo kitakuwa tena hewani na wachambuzi wako, watakuchambulia mechi ya Simba vs JS Saoura, pamoja na uchaguzi wa Yanga ambao utafanyika Jumapili ijayo.

Pia watakuwa na kipa wa Simba ambaye amepelekwa Ndanda kwa mkopo, Said Mohammed Nduda, usikose.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.