The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: SIMBA YAIPA YANGA NAFASI UBINGWA – VIDEO

Kipindi cha Spoti Hausi leo tena kipo hewani ambapo leo wachambuzi wako watakuchambulia kwanini Simba wameondolewa kwenye michuano ya FA, na sasa wanatakiwa kufanya nini ili kushiriki michuano ya kimataifa mwakani.

Lakini pia muendelezo wa Ligi Kuu Bara Tanzania Bara Yanga wakiwa wameiacha Simba kwa pointi 17 ambazo ni nyingi sana, pia muendelezo wa Ligi Kuu England, na kasi ya ufungaji wa Cristiano Ronaldo kwenye ligi kuu italia.

Comments are closed.