Susan Peter aolewa na Mzungu!

Susan-Peters-New-Promo-Shots-October-2011-BellaNaija-008-398x600MREMBO kunako filamu Nollywood, Susan Peter hivi karibuni alifanya bonge la sherehe baada ya kuolewa na tajiri wa Kizungu kutoka nchini Uholanzi ajulikanaye kwa jina moja la Koen.

Staa huyo alifunga ndoa ya kiserikali pande za Ikoyi ambapo mastaa kibao walimpa sapoti katika sherehe yake hiyo akiwemo Desmond Elliot aliyempongeza mrembo huyo kwa kuingia kwenye maisha ya ndoa.


Loading...

Toa comment