×

Tag: ajali

Waliofariki kwa Ajali ya Moto Moro Wafikia 95

Idadi ya waliokufa kutokana na ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro imefikia 95 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa amelazwa Hospitali...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Kahama, Utingo Afariki, Dreva Mahututi!

Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company  limeanguka na kuwaka moto   wilayani kahama mkoani Shinyanga  na kusababisha kifo...

READ MORE

Siku 7 Baada ya Ajali Morogoro, Hali Ilivyo Eneo la Tukio – Video

IKIWA ni siku saba tangu kutokea kwa ajali ya lori la mafuta kuwaka moto eneo la Msamvu mkoani Morogoro, Jumamosi...

READ MORE

Ajali ya Morogoro: Mwingine Mmoja Afariki Muhimbili – Video

IDADI ya vifo kutokana n ajali ya lori la mafuta lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, imeongezeka na kufikia 94...

READ MORE

Ajali Tena Morogoro, Wanne Wafariki Dunia

  Watu 4 wamefariki dunia na wengine 26,  wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusha basi la abiria na Lori  kugongana uso kwa uso...

READ MORE

Ajali ya Lori Morogoro: Wengine 7 Wafariki Muhimbili – Video

MAJERUHI wengine saba wa ajali ya moto waliokuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Mtoto Ajinyonga Akipika Ugali, Mama Mzazi Asimulia – Video

Binti wa miaka 16 aliyefahamika kwa jina la Maria amekutwa amejinyonga hadi kufa akiwa kwenye harakati za kuandaa chakula cha...

READ MORE

Ajali Moro: Mwingine Afariki, Utambuzi Tatizo kwa Mahututi – Video

MAJERUHI mwingine mmoja wa ajali ya lori la mafuta iliyotokea Morogoro aliyekuwa akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...

READ MORE

Dereva wa Lori Lililolipuka Ruvuma Apatikana, Amevunjika Mbavu!

DEREVA Hubert Mpete aliyekuwa akiendesha lori la mafuta lililopata ajali usiku wa kuamkia jana Mkoani Ruvuma, amepatikana akiwa hai.  ...

READ MORE

‘Mzimu’ wa Ajali ya Morogoro Waibukia Kenya

POLISI leo wameifunga barabara kati ya Nakuru na  Naivasha nchini Kenya katika eneo la Hoteli ya Stem huko Nakuru baada...

READ MORE

Boti Yapinduka Bahari ya Hindi, Mmoja Ahofiwa Kufa

WATU wamenusurika kifo wakati boti inayomilikiwa na klabu ya starehe ya Yacht jijini Tanga, ilipopinduka jana jioni, Agosti 11, 2019...

READ MORE

Breaking: Lori Jingine la Mafuta Lateketea Ruvuma

  LORI jingine la mafuta aina ya Scania, lenye namba ya usajili T 243 BCU, na tela T 685 DCV...

READ MORE

VIDEO: WAZIRI MKUU AUNDA TUME YA KUCHUNGUZA AJALI MORO

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameunda tume maalumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha...

READ MORE

VIDEO: 62 Wafariki Ajali ya Lori la Mafuta Moro, 70 Wajeruhiwa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe,  amesema imepatikana miili ya watu 60 waliokufa kutokana na malipuko wa moto...

READ MORE

BREAKING NEWS: NDEGE NDOGO YA ABIRIA YAANGUKA MAFIA PWANI

  NDEGE ndogo ya abiria (5H-NOW) iliyokuwa inatokea Zanzibar-Dar es Salaam  kisha kwenda Mafia imeanguka na kuwaka moto maeneo ya...

READ MORE

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE TABORA

WATU wawili raia wa Afrika Kusini wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea mapema asubuhi ya leo majira ya saa moja...

READ MORE

Sita Wafariki kwa Ajali ya Hiace na Cruiser

Watu sita wamefariki dunia na wengine 24 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la nyambula barabara...

READ MORE

MAJERUHI WA AZAM HOI KITANDANI AZUNGUMZA – VIDEO

MAJERUHI wawili kati ya watatu walionusurika katika ajali iliyosababisha vifo vya watu saba wakiwemo watano ambao walikuwa wafanyakazi wa Azam...

READ MORE

JPM Awalilia Wafanyakazi 5 wa Azam TV Waliofariki Wakielekea Chato

RAIS  John Magufuli amemtumia salamu za pole Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa kufuatia vifo vya wafanyakazi watano...

READ MORE

Saba Wafariki Wakienda Chato, Watano Wafanyakazi wa Azam TV

WATU saba wakiwemo wafanyakazi watano wa kampuni ya Azam Media wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa...

READ MORE

#BadNews: Watu 10 Wafariki kwa Ajali ya Ndege

WATU 10 wameripotiwa kupoteza maisha katika Jimbo la Texas baada ya kutokea kwa ajali ya ndege binafsi aina ya Beechcraft...

READ MORE

Afariki Baada ya Kudondoka Toka Kwenye Ndege ya Kenya

MTU mmoja ambaye anaaminika ameanguka na kufariki kutoka kwenye ndege iliyokuwa juu ya anga la jiji la London, Uingereza, mwili...

READ MORE

Watumishi Wawili TARURA Wafariki Ajalini Songwe

WATUMISHI wawili wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tanzania Rural and Urban Road Agency – TARURA) wamefariki dunia...

READ MORE

Lori Lagonga Treni Dodoma, 29 Wajeruhiwa

Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi...

READ MORE

Nandy: Tupo Fiti, Majeruhi Wamerudi Dar, Shoo Kama Kawa Sumbawanga – Video

BAADA ya basi aina ya Coaster lililokuwa kwenye msafara wa Tamasha la msanii Nandy (Nandy Festival) linalotarajiwa kufanyika huko Sumbawanga,...

READ MORE

MSAFARA WA NANDY FESTIVAL WAPATA AJALI, MENEJA WAKE AFUNGUKA

  BASI aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo. Msafara...

READ MORE

Baada 167 Kufa Maji DRC, Wengine 30 Wafariki

USAFIRI wa majini umeendelea kuwa jinamizi kwa wasafiri nchini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) baada ya ajali ya...

READ MORE

Breaking News: Mabweni ya Sekondari Ashira Yateketea Kwa Moto – Video

MABWENI ya Shule ya Sekondari Wasichana Ashira, iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro, yanaungua kwa moto. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi....

READ MORE

BASI LA SWEET AFRICA LAPATA AJALI MLIMA KITONGA

BASI la abiria la kampuni ya Sweet Africa lililokuwa linatoka mkoani Njombe kuelekea Dar es Salaam, limepata ajali leo majira...

READ MORE

MAGARI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO MDAULA, WAWILI WAFARIKI -VIDEO

Watu wawili wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari ndogo lenye namba za usajiri T 340 DHG kugongana uso kwa uso...

READ MORE

Basi, Hiace Yagongana Babati, Mwanafunzi Afariki

  KAMANDA wa Polisi Mkoani Manyara, Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali kati ya basi la Kampuni ya Mtei na...

READ MORE

Breaking News: RCO Ilala Afariki kwa Ajali – Pichaz

Mwanga. Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kugongana na gari jingine...

READ MORE

Ndege Yalipuka Urusi, 41 Wafariki Dunia – Video

WATU 41 wamefariki dunia baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Urusi (Aeroflot) kulipuka moto wakati ikitua kwa dharura...

READ MORE

VIDEO: Basi la Kilimanjaro Express lapinduka Mkata Tanga

Basi la abiria la Kampuni ya Kilimanjaro Express limepata ajali eneo la Mkata, mkoani Tanga leo Jumapili Mei 5, 2019....

READ MORE

Hiace Yaua 7, Yajeruhi 12 Kigoma

WATU saba wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la nyuma na kupinduka mkoani...

READ MORE

ALIYEKUFA AJALI YA MWENDOKASI MAPYA YAIBUKA!

KILOSA: Moja ya ajali mbaya zilizotokea katika msimu huu wa Sikukuu ya Pasaka ni pamoja na ile iliyotekea siku ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: AJALI YAUA ARUSHA, MAGARI YAGONGANA

AJALI imetokea leo Aprili 21, 2019 baada ya magari mawili ya mashindano kugongana eneo la Oldonyosambu, Arumeru jijini, Arusha na...

READ MORE

GLOBAL LEO: NDEGE Yaanguka na Kuua Watu 131 – Video

Siku kama ya leo, Aprili 19, mwaka 2000, nchini Philippines, ndege ya shirika la Air Philippines safari namba GAP 541,...

READ MORE

BREAKING NEWS: AJALI YA MWENDOKASI YAUA DEREVA WA UBER – VIDEO

DERVA wa gari dogo aina ya Nissan March lenye namba za usajili T968 DNZ linalodaiwa kuwa ni la huduma ya...

READ MORE