×

Tag: ajali

AJALI: Basi la Tashriff Latekeketea kwa Moto Tanga

Basi la Kampuni ya Tashriff limeteketea kwa moto leo asubuhi karibu na Kituo cha Mafuta kilichopo Kange Mkoani Tanga.  Hakuna...

READ MORE

TIZEBA AIPINGA TAARIFA YA POLISI KUHUSU AJALI YA WATUMISHI 5 SINGIDA

  Waziri wa Kilimo na Chakula, Eng. Dkt. Charles Tizeba (Mb) jana Jumanne tarehe Oktoba 23, 2018 aliongoza mamia ya...

READ MORE

MIILI YA WATUMISHI WATANO WALIOFARIKI AJALINI YAAGWA DODOMA

MIILI ya watumishi 5 wa Wizara ya Kilimo na Chakula waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea juzi Oktoba 21, 2018 ...

READ MORE

Watu 18 Wafariki Dunia kwa Ajali ya Treni

TAKRIBAN watu 18 wamepoteza maisha na 170 wamejeruhiwa baada ya treni ya abiria kutoka katika  njia yake kaskazini-mashariki mwa Taiwan....

READ MORE

Wizara ya Kilimo Yatoa Majina Waliofariki Katika Ajali, Singida

Wizara ya Kilimo na Chakula imetoa majina ya watumishi 5 waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea leo asubuhi eneo la...

READ MORE

Basi la Ibra Line Lateketea kwa Moto Maeneo ya Nangurukulu

BASI la Kampuni ya Ibra Line linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Masasi mkoani Mtwara, limewaka na...

READ MORE

Breaking: Watoto 6 Wafariki kwa Radi, 25 Wajeruhiwa Geita

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza wanafunzi sita wa Shule ya Msingi ya Emaco Vision English Medium ya mjini Geita wamefariki dunia leo...

READ MORE

BASI LA NEW FORCE LATUMBUKIA KITONGA, 10 WAJERUHIWA

TAKRIBANI watu kumi wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Dar es Salaam kutumbukia...

READ MORE

BAD NEWS: WATU 50 WAFARIKI KWA AJALI YA BASI

WATU 50 wamefariki dunia leo, Oktoba 10, 2018, na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya ajali ya basi la abiria lililokuwa...

READ MORE

Breaking: AJALI ya Basi la Arusha Express, Wanne Wafariki, 11 Wajeruhiwa

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa ambapo watano kati yao hali zao ni mbaya baada ya kutokea ajali...

READ MORE

Breaking: Moto Wazuka Jengo la Benjamin Mkapa – Video

Moto umezuka leo katika jengo la Benjamin Mkapa, Millennium Tower – Dar ambapo unasadikiwa umeanzia kwenye ghorofa ya tatu. Wageni...

READ MORE

MV Nyerere: Gari, Pikipiki Vikiopolewa Majini – Video

ZOPEZI la uokoaji na uopoaji wa Kivuko cha MV Nyerere limehitimishwa leo katika Kisiwa cha Ukara, wilayanai Ukerewe mkoani Mwanza...

READ MORE

ZIJUE Ajali Mbaya 10 Za Meli Zilizotikisa Dunia – Video

Licha ya Titanic kuwa mbo cha majini kilichopata ajali na kuuwa watu wengi zaidi katia Historia kuna Meli zingine zilipata...

READ MORE

BREAKING: NDEGE YAANGUKA BAHARINI NA WATU 47

ABIRIA 35 na wahudumu 12 wamenusurika kifo mapema leo Ijumaa baada ya ndege waliokuwa wakisafiria kukosea njia na kuanguka katikati...

READ MORE

BREAKING: SOKO LA MLANGO MMOJA LATEKETEA MWANZA

SOKO la wafanyabiashara wa mitumba lililopo eneo la Mlango Mmoja maarufu linajulikana kwa jina la Langolango jijini Mwanza limeteketea kwa...

READ MORE

MV NYERERE: Tazama Mtambo Ulioletwa Kukinasua Kivuko! – VIDEO

KUTOKANA na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere iliyotokea Sept 20 mwaka huu katika Kisiwa cha Ukara na kusababisha...

READ MORE

AJALI YA MV NYERERE… ALIYEACHIWA WATOTO 6 AIBUA SIMANZI

MWANZA: AMA kweli kila aliaye hushika kichwa chake mwenyewe; ajali mbaya ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyoua mamia ya watu...

READ MORE

BREAKING: JPM AAGIZA KIVUKO KIPYA KIJENGWE HARAKA UKEREWE

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Kamwelwe kutangaza zabuni haraka kwa ajili ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: NAPE NNAUYE ANUSURIKA KIFO AJALINI – PICHAZ

Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye amenusurika kifo baada ya gari aina ya Land cruiser VX...

READ MORE

MV NYERERE: MANUSURA Aliyeiona Ajali Kabla Haijatokea Asimulia – VIDEO

  Ni ngumu sana kuamini kama mtu anaweza kunusurika katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea huko Kisiwani Ukara wilayani Ukerewe...

READ MORE

AJALI YA MV NYERERE, LUGOLA AWACHIMBA MKWARA WANASIASA – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema wanaotumia ajali ya Kivuko cha #MVNyerere kama mtaji wa kisiasa watakamatwa na kuchukuliwa...

READ MORE

Updates Kutoka Ukerewe: Miili Iliyookolewa Yafikia 209 – Video

KWA mujibu wa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Isack Aloyce Kamwelwe amesema idadi ya miili ya watu waliofariki dunia katika...

READ MORE

BREAKING: Aliyenusurika Aeleza A-Z “Dereva Alikuwa Bize na Simu” – VIDEO

MMOJA wa watu walionusurika kwenye ajali ya kuzama kwa MV Nyerere, Mchori Bulola amesema chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni...

READ MORE

Mazishi ya Waliofariki Kwenye MV.Nyerere Kufanyika Kitaifa – VIDEO

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mazishi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Mv.Nyerere iliyotokea...

READ MORE

JPM ATANGAZA SIKU 4 ZA MAOMBOLEZO, WAHUSIKA WAKAMATWE

Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameagiza Bendera ya Taifa kupepea nusu mlingoti kwa siku nne kuanzia...

READ MORE

Breaking: Waziri Mkuu Awasili Eneo la Tukio UKerewe – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika kisiwa cha ukara ukerewe mkoani Mwanza kutoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali...

READ MORE

SIMANZI MV NYERERE: Apoteza Watoto Wawili, Ndugu Watatu – VIDEO

WAKATI Simanzi na majonzi vimetawala kwa Taifa zima kutokana na ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kiliyozama jana katika Ziwa...

READ MORE

MV NYERERE: PICHA 9 KUTOKA ENEO LA TUKIO, HALI ILIVYO

MAJONZI MAZITO! Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwelwe amesema uokoaji wa miili ya waliofariki dunia baada ya...

READ MORE

Updates: Waliofariki MV Nyerere Wafikia 126 – Video

16:00 – Idadi ya miili iliyoopolewa yafika 126 Idadi ya miili iliyoopolewa kwenye kivuko cha Mv Nyerere imefikia 125 mpaka...

READ MORE

Mbatia: Mnasubiri Maafa Yatokee, ‘Mnapiga Ramli Maisha ya Watanzania” – Video

MBUNGE wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR Mageuzi, James Mbatia ameilalamikia Serikali akidai imeshindwa kuweka chombo maalum kwa...

READ MORE

MBUNGE ‘ALITABIRI’ KUZAMA MV NYERERE “MNATAKA TUWAOMBE RAMBIRAMBI?”- VIDEO

UNAWEZA kusema ni kama alitabiri ajali ya MV Nyerere iliyotokea jana katika ziwa Victoria, ni kutokana na Mbunge wa Ukerewe...

READ MORE

Rais Magufuli: Nawaomba Tutulie Juhudi za Uokoaji Zinaendelea

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi na pole kutokana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere...

READ MORE

Breaking: Watu 44 Wafariki, 37 Waokolewa Wakiwa Hoi Mwanza – Video

HABARI zisizothibitishwa zimeeleza kuwa watu kadhaa wamefariki baada ya kivuko cha  MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na...

READ MORE

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas...

READ MORE

Mkurugenzi Halmashauri ya Msalala Anusurika Kifo

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, Simon Berege na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mibako Mabubu wamenusurika kifo baada ya gari...

READ MORE

BREAKING NEWS: KAMISHNA WA TRA APATA AJALI DODOMA – PICHA

KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Marwa Kichere amepata ajali leo Jumanne, Septemba 11, 2018, baada ya gari lake aina...

READ MORE

BAD NEWS: AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA, WALIOFARIKI WAFIKA 15

IDADI ya watu waliokufa katika Ajali ya lori iliyogonga Magari mengine manne kabla ya kupinduka na kuwaka moto kwenye mteremko...

READ MORE

JPM AWALILIA 11 WALIOFARIKI AJALINI MBEYA – VIDEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyotokea leo katika mteremko wa mlima Igawilo jijini Mbeya...

READ MORE

MBEYA: MAGARI MATANO YAGONGANA, 11 WAFARIKI DUNIA – VIDEO

AJALI mbaya imetokea katika mteremko mkali wa Iwaranje maeneno ya Igawilo leo Ijumaa, Septemba 7, 2018 ikihusisha malori matatu ya...

READ MORE

GARI LA WATALII LAGONGANA NA LORI ARUSHA

  Gari ya watalii imepata ajali mbaya Jijini Arusha.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (SACP) Ramadhani Ng’anzi, amethibitisha kutokea kwa...

READ MORE