Aliyekuwa Mkurugenzi Wa Jiji Arusha Ahukumiwa Kifungo Cha Miaka 20 Jela – Video
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk. John Pima na wenzake wawili, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, hukumu iliyotolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha baada ya kukutwa na hatia katika makosa ya uhujumu uchumi.…