×

Tag: CORONA

Maambukizi Corona Yafikia Mil. 3.5 Duniani

MAAMBUKIZI ya virusi vya Corona duniani yamefikia watu milioni 3.5 leo Jumatatu, Mei 4, 2020, wakati idadi ya vifo vinavyosababishwa...

READ MORE

Corona: Hispania Yalegeza Masharti, Watu Waanza Kutoka Nje

WANANCHI nchini Hispania, wameruhusiwa kuanza kutoka nje baada ya kukaa ndani kwa siku 48 kufuatia mlipuko wa virusi ya Corona...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Video: Rais Magufuli “Fenesi, Mbuzi Nao Wana Corona”

 Rais Dk John Magufuli haamini usahihi wa majibu ya vipimo katika Maabara Kuu ya Serikali kuhusu ugonjwa wa corona....

READ MORE

JPM: Ondoeni Hofu Kuhusu Corona, Chapeni Kazi -Video

RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Corona limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa...

READ MORE

Tiba ya Dharura ya Corona Yapatikana, Marekani Yantangaza Dawa

MAMLAKA ya Dawa na Chakula (FDA) nchini Marekani imeidhinisha matumizi ya dharura ya dawa ya Ebola, remdesivir, ianze kutumika kutibu...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Urusi Akutwa na Corona

WAZIRI Mkuu wa Russia Mikhail Mishustin amesema amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya...

READ MORE

Pierre Alivyonusurika Kifo Cha Corona

DAR: MCHEKESHAJI kwenye mitandao ya kijamii Bongo, John Mollel ‘Pierre Liquid’ amesimulia jinsi alivyonusurika kifo baada ya kushambuliwa na Ugonjwa...

READ MORE

Chuo Kikuu Ruco: Wafanyakazi Watalipwa Nusu Mshahara

CHUO Kikuu Katoliki Ruaha (Ruaha Catholic University) kimetoa taarifa ya kufunga shughuli zake zote isipokuwa za dharura na kutoa likizo...

READ MORE

Corona: 92 Wawekwa Karantini Ruvuma

WATU 92 wakiwemo raia 10 wa Msumbiji walioingia nchini kupitia mpaka wa Mkenda, wilayani Songea wamewekwa karantini kwa siku 14...

READ MORE

Trump Aituhumu China: “Wanataka Nishindwe Uchaguzi”

RAIS wa Marekani Donald Trump amesema kwamba China inampango wa kutumia kila njia ili kumfanya asichaguliwe tena kwenye uchaguzi mkuu...

READ MORE

Corona: Sauz Yaripoti Maambukizi Mapya 354, Jumla 5,350

IDADI ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Afrika Kusini imefika watu 5,350 baada ya visa vipya 354 kuthibitishwa, huku...

READ MORE

Taifa Tutenge Wiki Moja, Tupige ‘Nyungu’ Kwelikweli

SERIKALI imewataka wananchi wasisite kutumia njia mbadala ambazo zitaweza kuwasaidia katika janga hili la corona, ikiwemo kujifukiza, kwani utaratibu huo...

READ MORE

Anna Mghwira Akutwa na Virusi vya Corona

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro,  Anna Mghwira, amesema  amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.   Alisema kuwa...

READ MORE

Vifo vya Corona Marekani Vimezidi Waliofariki Vita vya Vietnam

IDADI ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu...

READ MORE

Corona: Mbowe Afunguka Mazito “Tunataka Ukweli” – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi Mkuu Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema njia...

READ MORE

Walioambukizwa Corona TZ Wafikia 480, Vifo 16 -Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema  maambukizi mapya ya ugonjwa  wa Covid-19  unaosababishwa na virusi vya corona, sasa yamefikia watu 480...

READ MORE

Burundi Yaanza Rasmi Kampeni za Uchaguzi Mkuu

KAMPENI za uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 20, 2020,  zimeanza leo ambapo mgombea kupitia chama tawala (CNND-FDD), Evariste Ndayishimiye na...

READ MORE

Mwanasayansi Mbaroni kwa Kupotosha ‘Pilipili Kichaa ni Dawa ya Corona’

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Ibrahim Peter (26) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Gambo Agawa Bure Sukari Iliyokamatwa Namanga – Video

MKUUwa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amegawa bure sukari kiasi cha kilo 5,000 iliyokamatwa katika mpaka wa Namanga unaotenganisha Tanzania...

READ MORE

Wakili Msando: Corona Hali ni Mbaya, Semeni Ukweli – Video

WAKILI maarufu wa kujitegemea, Alberto Msando, ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 374

WIZARA ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine 11 wa corona wameongezeka jana na kufanya jumla ya visa vya corona kufikia...

READ MORE

Moro: Kisa Dalili za Corona, Mazishi ya Naibu Meya Yasitishwa

MAZIKO ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro na diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihaha Sengo, yamesitishwa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusema ‘Nguo za Marehemu wa Corona China Zinaletwa Afrika’

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOYCE KEPHAS AKYOO MANKA (31) mfanyabiashara na mkazi wa Stereo, Jijini Mbeya kwa...

READ MORE

Wizara ya Afya: Toboa Barakoa Kabla Hujaitupa

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imetoa wito kwa wananchi kuteketeza barakoa baada ya kumaliza matumizi...

READ MORE

Tanzania: Waliothibitika Kuwa na Corona Wafikia 306

  WIZARA ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya saba walioambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Watanzania Wengine 4 Wakutwa na Corona Uganda

  WIZARA  ya Afya nchini Uganda imesema Watanzania wengine wanne ambao ni madereva wa malori, wamethibitishwa kuwa na virusi vya...

READ MORE

Diamond Akabidhi Nyumba Yake kwa Serikali Itumike Kama Karantini

NYOTA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’,  ametoa ruhusa kwa serikali kuitumia hoteli yake mpya aliyoinunua kama hospitali ya...

READ MORE

Madaktari 200 wa Cuba Watua Sauz Kupambana na Corona

Timu ya madaktari zaidi ya 200 wa Cuba imewasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Madai! Nadharia ya Corona Ilikoanzia na Aliyeisambaza

WAKATI janga la ugonjwa wa COVID-19 likiitingisha dunia, kuwekuwepo na nadharia na uvumi mbalimbali kutokana na kuibuka kwake.   Miongoni...

READ MORE

Corona Yaongeza Simanzi Mazishi ya Mama Rwakatare

    DAR: Licha ya kuwa ni desturi ya Waafrika na Watanzania kushiriki mazishi ya ndugu, jamaa, marafiki na wapendwa...

READ MORE

Licha ya Corona: Wanafunzi Elimu ya Juu Wafanya Mitihani ya Mwisho

  TAKRIBAN wanafunzi 52,000 wamefanya mitihani yao ya mwisho huku shule na vyuo vikiwa vinaendelea kufungwa ili kuepusha maambukizi ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Marufuku Kuingia Hospitali ya Bugando Bila Kuvaa Barakoa

KUANZIA leo Aprili 24, 2020, mtu yeyote yule, wakiwemo wagonjwa ama ndugu za wagonjwa atakayeingia katika Hospitali ya Bugando jijini...

READ MORE