Kushindwa Kujieleza kwa Wagonjwa kwa Madaktari Kwaleta Madhara kwa Afya Zao
DAKTARI Mloganzila-Innocent Tesha kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili amesema kuwa baadhi ya wagonjwa wanashindwa kueleza kwa usahihi matatizo yao jambo linalohatarisha afaya zao.
Amesema kuwa baadhi ya wagonjwa wakifika…
