Serikali Yakiri Kukosa Fedha Ujenzi Barabara ya Morogoro – Tanga
Serikali ya Tanzania imekiri kukosa bajeti ya ujenzi wa kiwango cha lami barabara ya Kilindi-Iyogwe hadi Gairo yenye urefu wa kilomita 115.7 na badala yake itaendelea kutenga bajeti kwa ajili ya kufanya matengenezo mbalimbali ili…