Tambwe Afunguka Kulogwa na Ngoma
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ndiye mchezaji anayetajwa kuwa bingwa wa kufunga mabao ya vichwa katika Ligi Kuu Bara.
Hali hiyo ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kuzifumania nyavu. Tangu atue hapa nchini…
