The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Emmanuel Okwi

Okwi Apewa Kazi Maalum Kwa Azam

Said Ally BENCHI la ufundi la Simba likiongozwa na kocha wake mkuu, Joseph Omog raia wa Cameroon limempa kazi nyota wao, Emmanuel Okwi kuhakikisha anaibeba timu hiyo katika mchezo wake wa wikiendi hii dhidi ya Azam FC. Simba na Azam…

Okwi: Na Bado, Nitazidi Kufunga

MUDA mfupi tu baada ya kufunga bao pekee dhidi ya Misri na kuiwezesha Uganda kukaa kileleni mwa Kundi E la kufuzu Kombe la Dunia 2018, Emmanuel Okwi amesema atafunga sana msimu huu. Siku sita baada ya kuifungia Simba mabao manne…

Omog Ampa Okwi Mabao 60 Msimu Huu

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, amewapa mtihani washambuliaji wake wakiongozwa na Emmanuel Okwi na John Bocco baada ya kusema kuwa, msimu huu anataka kuona timu yake inafunga mabao mengi zaidi ya msimu uliopita ili isitokee wakakosa…

Okwi Atamba: Subirini Mabao…

BAADA ya kufunga mabao manne kwenye mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda amefunguka kuwa huo ni mwanzo kwani amejipanga kuifanyia makubwa timu hiyo kwenye kila mchezo wake. Okwi…

Omog Awazuga Yanga Kwa Okwi

KOCHA wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog hakuweza kumtumia mshambuliaji wake raia wa Uganda, Emmanuel Okwi katika michezo ya kirafiki visiwani Zanzibar kwa madai ya kuwa ni majeruhi lakini amesisitiza kuwa lazima atacheza katika mchezo wa…

Okwi: Nitapeleka Kilio Yanga SC

STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi, juzi alifunguka kuwa anataka kuwanyamazisha wapinzani wao, Yanga kwa kuwapelekea kilio wakati watakapovaana leo Jumatano kwenye pambano la Ngao ya Jamii. Okwi amejiunga na Simba kwa mara ya…

Lwandamina: Huyu Okwi Hatari

KOCHA mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amefunguka kuwa makosa madogomadogo wanayoyafanya safu yake ya ulinzi yanampa presha kuelekea mchezo wao Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, ambayo ina safu iliyoshiba ya ushambuliaji…

Okwi: Kwa Simba Hii, Ubingwa Mapema

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kishujaa baada ya kutamka kuwa atapambana kufa au kupona kuhakikisha timu yake inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara mapema tu. Okwi raia wa Uaganda, ametoa kauli hiyo muda…

Okwi, Niyonzima wafunika Simba Day

NYOTA wapya wa Simba, Emmanuel Okwi, Haruna Niyonzima na Aishi Manula, jana walifunika kwa kushangiliwa kwa nguvu na mashabiki wa timu hiyo wakati wakitambulishwa kwao. Simba, jana ilifanya Tamasha la Simba Day ambalo…

Okwi: Nisubirini Uwanjani Niwanyooshe

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amefunguka kwa sasa anaendelea na mazoezi na kikosi hicho ambapo mashabiki ambao wana hofu na uwezo wake wamsubiri uwanjani kwenye mechi dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda, kwenye mechi ya Simba…

Okwi Ala Shavu Ligi Ya Uganda

STRAIKA mpya wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda, ameng’ara nchini kwao baada ya kutajwa kwenye kikosi bora cha msimu wa Ligi Kuu ya Uganda iliyomaliza hivi karibuni. Okwi ambaye alikuwa akiichezea SC Villa ya nyumbani…

Okwi Kuifuata Simba Sauzi

MSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Uganda, Emmanuel Okwi anatarajia kukifuata kikosi hicho Afrika Kusini kwa ajili ya kambi ya muda mfupi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao akitokea Uganda alipokuwa akiitumikia timu ya taifa.…

Yanga Yaifunika Simba

KWA mara nyingine Yanga imeifunika Simba kwa gharama za mishahara kwa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao wamesajiliwa hadi sasa. Ukijumuisha wachezaji wapya na wale wa zamani, kikosi cha kwanza cha Yanga kitalipa mshahara wa…

Okwi kuanza kazi rasmi Simba Julai 17

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mganda, Emannuel Okwi, anatarajia kuwasili nchini Julai 17, mwaka huu baada ya kumalizika mechi ya Chan ambapo Uganda itacheza na Sudan Kusini. Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba ambapo…

Okwi Naikumbuka Sana Yanga

Na Said Ally/CHAMPIONI/GPL MSHAMBULIAJI wa timu ya SC Villa ya Uganda, Emmanuel Okwi ambaye aliwahi kutamba na Simba ya hapa nchini, ametamka kuwa bado anaukumbuka upinzani ambao alikuwa anakutana nao alipokuwa Tanzania kutoka kwa timu…