Hanscana Aapa: Nimekoma Kusimamia Wasanii
MWONGOZAJI maarufu wa video Bongo, Director Hanscana, hupenda kuongea na mashabiki zake kupitia instagram na kuruhusu mashabiki kumuuliza maswali.
Jana Jumatano, Novemba 11, 2020, alitoa nafasi hiyo ambapo shabiki mmoja…
