×

Tag: Harmonize

Harmo Asepa na Kijiji Mbele ya Rayvanny

KABLA ya mambo kwenda mrama na kuwa maadui, wasanii wawili wa Bongo Fleva, Harmonize na Rayvanny walikuwa marafiki wakubwa ndani...

READ MORE

Jina la Harmonize Lafutwa Kwenye Utambulisho wa Mtoto Wake

Ni headlines za mwanamuziki Harmonize ambae leo hii jina lake maarufu kama ‘Konde’ limeondolewa katika utambulisho wa mtoto wake wa...

READ MORE

Marioo ni Mkali Kuliko Diamond, Ali Kiba Wala Harmonize

MWAKA 2021 umeenda vizuri sana kwa upande wa Marioo, kwa ngoma kali alizotoa Inatosha kusema kwamba Marioo ndio muimbaji bora...

READ MORE

Harmonize na Mkapa Walivyoiheshimisha Mtwara

Kama ilivyo kawaida kwa Wasanii kuzitangaza na kubrand sehemu walikozaliwa, Harmonize pia amefanikiwa sana Kuibrand Mtwara na mikoa ya Kusini...

READ MORE

Harmonize Ajibu Bata La Mobeto Na Rick Ross

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi anayekiwasha kunako Bongo Fleva, amejibu bata la mwanamitindo Hamisa Mobeto na Rick Ross. Baada ya...

READ MORE

Harmo Atahimili Visanga Alivyofanyiwa Kiba?

MIMI binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako...

READ MORE

Harmo wa Jana Siyo Huyu wa Leo

Ni zaidi ya miaka mitano tangu Harmonize atambulike rasmi kwenye Bongo Fleva. Ngoma iliyomtoa ni Aiyola iliyotoka siku ile ya...

READ MORE

Harmonize Apewa Ubalozi wa Usafi Dar

Supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize amesema kutokana na vijana wengi kumfuatilia kama msanii mkubwa na kioo cha jamii, sasa jukumu...

READ MORE

Huyu Briana wa Harmo ni Mtu na Nusu

KONDE Boy Mjeshi au Teacher Harmonize ame shindwa kujizuia na kumwanika mrembo wake mpya kutoka Australia anayetajwa kwa jina moja...

READ MORE

Mondi, Harmo Kikaangoni Skendo Dawa za Kulevya

NGOMA nzito! Wasanii wawili wakubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Rajabu Abdul au Harmonize wapo kikaangoni baada...

READ MORE

Diamond Naye Aamua, Amkataa Mazima Harmo

Siku kadhaa zilizopita miongoni mwa story kubwa ilikuwa kuhusu msanii na C.E.O wa Konde Music Worldwide Harmonize kumuondoa msanii na...

READ MORE

Ray C Atema Nyongo: Vita ya Harmo na Mondi Itasababisha Mauti

Kwa haraka haraka tu kama hichwa chako kunafanya kazi! Unadhani mwisho wa haya yanayoendelea utakuwa ni nini? Kwangu naona mauti...

READ MORE

Harmonize: Diamond Alisema Simuwezi Kihela, Serikali, Kiuchawi – Video

MWANAMUZIKI Harmonize, jana Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake baada ya kutua nchini ameongea...

READ MORE

Harmonize: Nafikiria Kufuta Tatuu ya Diamond

MWANAMUZIKI Harmonize, jana Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake baada ya kutua nchini ameongea...

READ MORE

Kimeumana! Harmonize Ajilipua Bifu Lake na Diamond – Video

MKURUGENZI wa Lebo ya Kondegang, Harmonize ameamua kuvunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu bosi wake wa zamani...

READ MORE

Hakuna Aliyeweka Rekodi ya Harmo Bongo

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi kwa sasa anajiita Teacher (Mwalimu) kunako Bongo Flevani. Hii ni baada ya kuachia albam yake...

READ MORE

Harmonize Apewa Cheo cha Fidel Castro

MWIMBAJI wa Mduara, AT amedai kuwa, msanii wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi ni sawa na Fidel Castro...

READ MORE

Diamond, Harmonize Wachafuana Kupita Maelezo

WAKATI baadhi ya mashabiki wa muziki wa bongo fleva wakiendelea kuomba siku moja walau mara moja itokee msanii Diamond Platnumz...

READ MORE

Harmonize Atamba: Hakuna Msanii wa Kunifikia Bongo

SUPASTAA wa Bongo Fleva, namzungumzia CEO wa Konde Gang, Harmonize amewatolea uvivu wanaojaribu kumlinganisha yeye na wasanii wengine kwenye industry...

READ MORE

Harmonize: Msipoteze Bando Lenu Kunipigia Kura

  STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini Rajab Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi kutozitambua tuzo zinazoendelea hususani African Entertainment...

READ MORE

Sarah Afunguka Kurudiana na Harmonize

 ALIYEKUWA mke wa msanii Harmonize au Konde Boy Mjeshi, Sarah Michelotti; kwa mara ya kwanza amefunguka uwezekano wa kurudiana na...

READ MORE

Harmonize Amfanyia Ukorofi Kiba

  HUU ni ukorofi kama ule wa Mama Tariki! Hivyo ndivyo wasemavyo baadhi ya mashabiki kufuatia kitendo cha msanii mwingine...

READ MORE

Harmo Anakunywa Pombe Kamili Mwanawe Togwa

HARMONIZE ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zulekha au Zuu ambapo mama wa mtoto huyo amemtumia mkeka wa...

READ MORE

Kolabo ya Harmonize & 20 Percent Yanukia

HATIMAYE ahadi ya Supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize ‘Teacher Konde’ ya kuingia studio na kufanya kolabo na msanii nguli wa...

READ MORE

Kajala Amepata Mrithi wa Harmonize

MWANAMAMA mwingine kunako Bongo Movies, Kajala Masanja ameibua maswali kwamba huwenda amepata mrithi wa aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni msanii...

READ MORE

Harmo Asibezwe, ni Fundisho Tosha

MSANII wetu hapa Tanzania, Harmonize au Konde Boy Mjeshi au Harmo amekuwa akibezwa na baadhi ya watu, hasa baada ya...

READ MORE

Harmonize Atinga Studio ya Mpenzi wa Rihanna

MSANII wa muziki wa Tanzania, Harmonize au Konde Boy Mjeshi anaendelea kutisha na kuthibitisha msemo wake wa Konde Boy for...

READ MORE

Harmonize, Diamond Wagawana Marekani

MUZIKI wa Bongo Fleva unazidi kupasua anga ambapo katika msimu huu wa majira ya joto (summer), kuna wasanii wawili wanaiwakilisha...

READ MORE

Harmonize Jeshi la Mtu Mmoja Akiwasha Kinoma

MTANDAO unaohusika na kutoa takwimu za wasanii Bongo, umetoa orodha ya wasanii kumi waliotazamwa zaidi kwenye Mtandao wa YouTube kwa...

READ MORE

Burna Boy Somo Kamili kwa Diamond, Harmonize

MSHINDI wa Tuzo za Grammy, Burna Boy kwa mara ya kwanza ameonesha jumba lake la kifahari analolimiliki lililopo jijini Logos,...

READ MORE

Harmo Amfanyia Umafia Mondi Marekani

KIBAO kimegeuka! Ndivyo wasemavyo wananzengo baada ya msanii wa muziki nchini Tanzania, Abdul Rajab au Harmonize kudaiwa kumfanyia umafia aliyekuwa...

READ MORE

Gumzo Harmo Kumkimbia Rayvanny

WIKIENDI iliyopita kulipaswa kuwa na matukio mawili makubwa; moja Harmonize au Konde Boy Mjeshi alitangaza kumtambulisha msanii wake, Cheed ambaye...

READ MORE

Kimeumana! Mondi, Harmo, Barna Boy, Wizkid & Davido

WAANDAAJI wa Tuzo za All Music Award (AFRIMA 2021), Septemba 23, mwaka huu, wametaja listi ya majina ya wasanii, Ma-DJ,...

READ MORE

Sababu Harmonize Kufuta Shoo Majuu

MSANII mwingine mkali anayeiwakilisha Bongo Kimataifa, Harmonize au Konde Boy Mjeshi amelazimika kufuta na kuahirisha ziara yake ya muziki katika...

READ MORE

Rayvanny na Harmonize Yupi Anapesa Chafu?

Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwa maana ya utajiri?...

READ MORE

Utajiri wa Ghafla wa Rayvanny Wamshtua Mondi

UKIACHANA na utajiri wake wa mashairi makali na mpangilio mzuri wa sauti, staa mwingine wa Bongo Fleva, Raymond Shaban Mwakyusa...

READ MORE

Harmonize Achafua Hali ya Hewa Marekani

  STAA wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi anaendelea na ziara ya takriban miezi miwili katika majimbo mbalimbali...

READ MORE

Nay, Harmo ni Vita ya Wababe Mtaani

NI vita ya wababe wa mtaani! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya rapa mbabe Bongo, Emmanuel Elibariki almaarufu Nay Wa Mitego...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Utajiri wa Harmonize, Rayvanny ni Balaa Tupu

HATA wewe ukiulizwa kati ya msanii Rayvanny kutoka Lebo ya WCB na Haromonize, bosi wa Konde Gang nani ana mkwanja...

READ MORE