Mbeya City Uso Kwa Uso Na Singida Leo
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi jioni ya leo Jumamosi kwenye viwanja mbalimbali hapa nchini.
Kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa, kutakuwa na mchezo kati ya vibonde wa ligi msimu huu, Singida…
