TAKRIBANI watu 60 wameuawa katika maandamano ya kupinga serikali ya Chad ambapo kulitokea vurugu baada ya vikosi vya usalama kufyatua...
READ MOREWATU 11 wamekamatwa na Polisi wa Ufaransa katika maandamano ya maelfu ya watu wakipinga mfumuko wa bei, ongezeko la bei...
READ MORETAKRIBANI watu 92 wameuawa kwa madai ya ukandamizaji unaofanywa nchini Iran wa kutuliza maandamano yaliyochochewa na kifo cha mwanamke anayefahamika...
READ MORETAKRIBANI watu wanne wameuawa katika makabiliano kati ya wapiganaji wanaohasimiana yaliyotokea katika Mji wa Basra nchini Iraq huku makundi mbalimbali...
READ MORENakuvutia hii kutoka pande za Marekani ambapo maandamano makubwa yamezuka kumsapoti staa wa NBA Kyrie Irving, anayekiwasha katika timu ya...
READ MOREMaelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiwa kwa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wameingia mitaani na kuchoma magari kadhaa...
READ MORERAIS wa Marekani, Joe Biden, ametangaza kuidhinisha amri ya kiutendaji ya kuwawekea vikwazo vipya wahusika wa mapinduzi ya kijeshi...
READ MOREPolisi nchini Uganda imesema kuwa idadi ya vifo vya vilivyotokea katika maandamano ya wiki iliyopita imeongezeka na kufikia watu 45....
READ MOREKAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi wanne wa...
READ MOREKAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas, amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia mtu yeyote awe kiongozi wa chama...
READ MORENYOTA wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido), ameongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi...
READ MOREMAOFISA wawili wa polisi wamepigwa risasi huku maelfu ya watu wakiandamana katika mji wa Louisville nchini Marekani baada ya jopo...
READ MOREWAANDAMANAJI katika mji wa Beirut nchini Lebanon walikabiliana na vikosi vya usalama vya nchini humo wakipinga serikali siku ya Alhamisi....
READ MORETangu Oktoba 1, 2019 Wananchi wa Iraq walianza maandamano ya dhidi ya Wanasiasa wanaoongoza nchi hiyo wakiwashutumu kwa mfumo...
READ MOREWAUMINI wa dini ya Kikristo wa Kikatoliki katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wamefanya maandamano katika maeneo mbali mbali...
READ MOREWANAFUNZI zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamefunga barabara na...
READ MOREUMATI wa watu umejitokeza leo Agosti 28, 2019, nje ya ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar, uliopo kwenye...
READ MORELICHA ya mvua kali iliyokuwa ikinyesha Hong Kong, umati wa watu, wakiwamo wazee, walijiunga na wanaharakati vijana na watu wengine...
READ MOREVIKOSI vya usalama nchini Sudan vimerusha mabomu ya machozi na kutumia risasi halisi kuwatawanya waandamanaji mjini Khartoum na watu wanne...
READ MOREWANAUME wawili waliachiliwa huru na mahakama ya Italia kwa makosa ya kumbaka mwanamke, baada ya majaji kuamua kuwa mwathirika ana...
READ MOREWananchi wa Kijiji cha Nyarututu kata ya Bwanga Wilayani Chato mkoani Geita wamemkataa mwenyekiti wao, Slivester Nalomba, kwa madai ya...
READ MOREPolisi nchini Uganda, imesema imewakamata watu 103, katika maandamano yaliozuka ya kupinga kukamatwa kwa mbunge wa upinzani Robert Kyagulanyi au...
READ MOREMUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Juma Chikoka, amesema kuna tatizo kubwa la uelewa wa Watanzania katika suala zima la matumizi...
READ MOREMbunge Viti Maalum kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Mhe. Riziki Rulida amewataka Maaskofu nchini wasijingize katika masuala ya siasa kwa...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kupitia kwenye mitandao ya kijamii wakitumia...
READ MOREJeshi la Polisi limetoa onyo kwa kikundi kinachohamasisha maandamano kupitia mtandao wa Telegram na kusema litafanya kila liwezekanalo kisheria kukizuia....
READ MOREWaziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumzia maiti zinazookotwa baharini na kusema kuwa kama zingekuwa za Watanzania basi...
READ MOREMKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo amewahadharisha Watanzania na kuwataka wajiepushe na vitendo vinavyoweza kutishia...
READ MOREMBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameishutumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa walishindwa...
READ MOREJESHI la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Muliro Jumanne limethibitisha kuwashikilia watuhumiwa watatu wenye majeraha ya...
READ MORETungependa Watanzania wote waeleweshwe kuhusu jambo hili. Tumekuwekea mjadala maalum kuhusu polisi kuzuia mikutano ya kisiasa na maanadamo hapa nchini....
READ MOREJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano, maombi na mikusanyiko isiyo halali huku likielekeza kuwa...
READ MOREKaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha...
READ MOREDAR ES SALAAM: Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya walemavu waliofunga barabara wakipinga kuzuiwa kuingia katikati ya mji...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Shinyanga limelazimika kutumia mabomu kuwatawanya madereva bodaboda zaidi ya 100 waliokuwa wanaandamana kuelekea eneo la Ibinzamata...
READ MORE