Utokwaji na Majimaji Katika Via vya Uzazi vya Wanawake
Na MWANDISHI WETU/GPL
KWA kawaida wanawake hutokwa na ute katika via vya uzazi na hasa wale waliopevuka na kuwa na uwezo wa kuzaa. Hii ni njia moja wapo ya kutoa uchafu au sumu mwilini. Hali hii ya ute kutoka huwa si ngeni na ni…