The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Mimba kuchoropoka (Miscarriage)

Sababu 10 Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito

WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo Sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba. Kuna matatizo mengi ambayo yanahusiana tu na mimba, hata hivyo ni muhimu kukumbuka…

Tatizo la Mimba Kutoka Mara kwa Mara

WIKI iliyopita tulieleza sababu ya mimba kuharibika tunamalizia kwa haya: MIMBA KUTOKUA Ikiwa mimba itaacha kuongezeka au kukua ni dalili nyingine ya mimba kuharibika, leo tutaeleza tatizo la mimba kutoka mara kwa mara. Kila…

Mimba kuchoropoka (Miscarriage)

Tatizo la mimba kuharibika na kutoka (kuchoropoka) kabla ya umri wake unaotakiwa kukamilika, limekuwa likiwasumbua wanawake wengi. Leo tutalijadili kwa kina tatizo hili ambalo kitaalamu huitwa Miscarriage. MISCARRIAGE NI NINI? Kwa…