Wachezaji Nba Kutopimwa Matumizi Ya Bangi
LIGI ya Kikapu nchini Marekani (NBA) imetangaza kusitisha mchakato wa kuwapima wachezaji matumizi ya bangi kabla ya msimu wa 2020-21 kuanza kama ambavyo taarifa ilivyotolewa awali.
NBA na NBPA kwa pamoja wameafikiana…
