Swizz Beats Apagawa na Singeli
KWA kinachoendelea kwa rapa, produyza na mfanyabiashara mkubwa kutoka Marekani, Swizz Beatz ni wazi kuwa
tayari ameshachizika na mikwaju ya singeli kutoka Bongo mara baada ya kuonekana mara kadhaa akiruka na mkwaju wa Chura Superstar…