TANAPA Yapiga Marufuku kwa Watalii Kugusa na Kulisha Wanyamapori Katika Hifadhi
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limewaonya watalii dhidi ya kuingilia mambo ya asili wakati wakitembelea hifadhi, lilisisitiza kupitia taarifa kwamba kugusa na kulisha wanyama pori ni marufuku kabisa katika maeneo yaliyohifadhiwa.…
