Hawa Nd’o Wanyama 10 Wenye Kasi Zaidi Duniani
WANYAMA au viumbe wenye kasi zaidi duniani miongoni mwao huruka angani, wengine huogelea baharini na wengine hukimbia ardhini.
Kulingana na mtandao wa OneKindPlanet unaoangazia elimu ya wanyama, wanyama wafuatao ndiyo wenye kasi zaidi…
