The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Polisi Dar Yatumia Mabomu ya Mchozi Kutawanya Maandamano ya Walemavu

0

DAR ES SALAAM: Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya walemavu waliofunga barabara wakipinga kuzuiwa kuingia katikati ya mji na baiskeli.

Taarifa za awali zinasema kuwa Jeshi la Polisi linawashikilia walemavu kadhaa kuhusiana na tukio hilo ambalo limefanyika leo maeneo ya Posta jijini Dar.

TAZAMA VIDEO HAPA

Leave A Reply