The House of Favourite Newspapers

Tanesco Yasitisha Kuzima Mfumo wa Ununuzi Luku Siku Nne Kuanzia Agosti 22 – 25

0

TANESCO

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu kuahirishwa kwa zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo Agosti 17, 2022 kuwa wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa siku nne, Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku.

Leave A Reply