Tanesco Yatangaza kuunganisha Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kwenye gridi ya taifa
Shirika la Umeme (Tanesco) limetangaza taarifa ya kuunganisha Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kwenye gridi ya taifa, hatua itakayosababisha kukatikakatika kwa umeme kwa muda wa siku 10 kupisha maboresho hayo.