The House of Favourite Newspapers

Tanzania Yaingiza Top 25 Makampuni Yanaoongoza kwa Mkwanja East Africa

0

TANZANIA imeingiza makampuni/mashirika sita kwenye orodha ya makampuni 25 Afrika Mashariki na orodha ya makampuni 250 Afrika nzima yenye mtaji mkubwa na yanayofanya vizuri sokoni kwa sasa katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

 

Hii inajumlisha mitaji, mapato, faida na hisa zao katika masoko. Mashirika hayo ni TBL (2), Vodacom Tanzania (6),  TCC (7), NMB (9), CRDB (19), TPC (20).

Leave A Reply