The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Mama Mzazi wa P Funk Majani Afariki Dunia

0

PRODYUZA/mtayarishaji wa muziki,  Paul Matthysse ‘P Funk Majani’,  amefiwa na  mama yake mzazi Aunt Sheilah) kilichotokea Septemba 8, 2020, nje ya nchi.

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia hiyo, mipango ya kurejesha mwili na taratibu za mazishi zinaendelea na msiba upo Kilosa mkoani Morogoro.

 

Ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu wanaalikwa nyumbani kwa Majani (Bamaga/ nyuma ya Petrol Station ya Bamaga) siku ya Septemba 19, 2020 kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

Kwa maelezo zaidi.
+255 718 536747 Fadhil Kiholi
+255 754 772220 Ngaiza.

Leave A Reply