The House of Favourite Newspapers

TANZIA: DC Rweyemamu Afariki Dunia

0
Muhingo Rweyemamu enzi za uhai wake.

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia leo Jumamosi, Septemba 2.

Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na aliyekuwa Mwenyekiti Jukwaa la Wahahariri Tanzania, ambaye pia alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu, Absalom Kibanda.

Katika utumishi wake, Muhingo Rweyemamu aliwahi pia kuwa mkuu wa wilaya za Morogoro, Makete na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited.

Taarifa zaidi za msiba huo endelea kufuatilia habari kwenye mitandao yetu ya;

Facebook @Globalpublishers

Twitter @GlobalHabari

Instagram @GlobalPublishers

YouTube @GlobalTVTZ

Global TV Kenya: Kenyatta Hakubaliani na Uamuzi wa Mahakama Lakini…!

Global TV Kenya: Kenyatta Alichowafanyia Wananchi Baada ya Uchaguzi Kufutwa

Global TV Kenya: Safari ya Odinga Kuelekea Ikulu Hii Hapa

Leave A Reply