The House of Favourite Newspapers

TANZIA: Mpiga Picha Nguli wa Uhuru na Mzalendo Afariki Dunia

Mpiga picha wa zamani wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo Mzee Mwalimu Omari amefariki dunia leo Jumatano, Julai 25, 2918.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Mburahati jijini Dar es Salaam na mazishi yamepangwa kufanyika kesho huko huko Mburahati.

Mola ailaze pema roho ya marehemu, AMINA.

Comments are closed.