TANZIA: Mwanahabari Asha Muhaji Afariki Dunia Dar Leo

Mwanahabari mwandamizi wa michezo nchini ambaye amewahi pia kuwa afisa habari wa Klabu ya Simba, Asha Muhaji, amefariki dunia leo Machi 25, 2020 katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam.
Toa comment