The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Said Hamad El Maamry Afariki Dunia

0

 

MWENYEKITI wa Zamani wa Chama cha soka nchini (FAT) sasa TFF Said Hamad El Maamry amefariki dunia El Maamry ambaye alikuwa Mwanasheria nguli aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo BMT, amefariki usiku wa kuamkia leo hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Leave A Reply