The House of Favourite Newspapers

TFF Yaufungia uwanja wa Uhuru kutumika kwenye michezo ya ligi kuu

0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Uhuru kutumika kwenye michezo ya ligi kuu baada kukosa vigezo vya kanuni na sheria za mpira wa miguu.

Timu zilizokuwa zikitumia uwanja huo zitalazimika kutafuta uwanja mwingine kwa ajili ya michezo yao ya ligi huku zikisubiri marekebisho ya uwanja mpaka pale Shirikisho litakapojiridhisha kuwa uwanja utafaa kutumika.

Leave A Reply