The House of Favourite Newspapers

TIZEBA, NAPE NA MASANJA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA SHIGONGO

Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Buchosa (CCM) Dkt. Charles Tizeba, akitoa salamu za pole kwa wafiwa.
Mbunge wa zamani wa Nyamagana na aliyekuwa waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Lawrence Marsha akitoa heshima zake za mwisho.
Tizeba akiwapa mkono wa pole watoto wa Bi Asteria Kapela. 
Mtumishi wa Mungu na mchekeshaji, Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ambaye pia ni Mchungaji Msaidizi katika Kanisa la EAGT Mito ya Baraka jijini Dar es Salaam akitoa misa fupi.
…Akiendelea kuhubiri.
Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye akitoa salamu za pole.
Nape na Tizeba wakizungumza.
Eric Shigongo akimzungumzia marehemu mama yake.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.

Comments are closed.