The House of Favourite Newspapers

UCHEBE – “Mama Diamond Nimefanya Nae / Uwoya Shemeji / Harmonize Mmh” – VIDEO

GLOBAL TV tumefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala kisiwani kutembelea ofisi ya Mume wa Mwanamuziki Shilole anayefahamika kama Uchebe na kupiga nae stori nyingi kuhusiana na kazi zake za kutengeneza magari.

Uchebe amesema Mkewe Shilole amekuwa msaada mkubwa katika kazi yake lakini kubwa zaidi mastaa mbalimbali wamekuwa wakimsapoti kwa kuleta magari yao gereji kwake pale tu yanapopata hitilafu.

Miongoni mwa magari ya mastaa alioyowahi kuyatengeneza ni gari la Mama Diamond, Mwanamuziki Harmonize, Muigizaji Irene Uwoya na wengine.

Comments are closed.