The House of Favourite Newspapers

Mbunge Aanika Ukweli Kuhusu Deni la Ndege Iliyompeleka Lissu Nairobi

0
Ndege ilimpeleka Lissu Nairobi.

MBUNGE wa MpendaeZanzibar, Salim Turky (CCM) leo Alhamisi, Septemba 14 amefafanua kuhusu ukweli wa ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) kutoka Dodoma mpaka Nairobi Kenya anakoendelea na matibabu baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wiki iliyopita nyumbani kwake.

Spika Ndugai Amjibu Lema Kuhusu Bunge na Serikali Kutomsaidia Lissu

Akitoa ufafanuzi huo, Turky na changamoto walizozipata katika kumsafirisha na deni walilokua wanatakiwa kulilipa Chadema kwa shirika la ndege lililo msafirisha.

Mbali na maelezo hayo, mbunge huyo ametoa ufafanuzi kwamba hadi sasa, Chadema wameshakamilisha malipo ya deni la ndege hiyo. 

Ukweli Kuhusu Ndege Iliyompeleka Lissu Nairobi

Shuhudia Yusuf Manji Alivyoachiwa Huru na Mahakama ya Kisutu

Leave A Reply