The House of Favourite Newspapers

Uongozi Wakanusha Taarifa za Kifo cha Ommy Dimpoz

Uongozi wa mwanamuziki Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz umekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa msanii huyo amefariki dunia. Uongozi huo umesema hizo ni taarifa za uzushi na kwamba Dimpoz ni mzima na afya yake inaendelea kuimarika.

Comments are closed.