The House of Favourite Newspapers

Usajili Ghali Wa Wachezaji Kwa Miaka Yote

0
1. Paul Pogba Man U £89.3M (Sh Bil 251.8)
2. Gareth Bale Madrid £85.3M (Sh Bil 240.5)
3. Ronaldo Madrid £80M (Sh Bil 225.5)
4. Higuaín Juventus £75.3M (Sh Bil 212.3)
5. Suárez Barcelona £65M (Sh Bil 183.2)

MCHEZAJI bora husajiliwa na fedha nyingi, na ili timu yako ionekane pia kuwa na thamani na kuwavutia wachezaji mbalimbali basi lazima mmiliki uwe na mkono mwepesi wa kutoa dau kubwa ambalo pia litajenga heshima klabuni, kikubwa cha kuzingatiwa ni kipaji na uwezo binafsi wa mchezaji.

Chini ni listi ya wachezaji ambao wamesajiliwa kwa mkwanja mkubwa zaidi mpaka sasa, rekodi hii ni kwa miaka yote.

Usajili ghali wa wachezaji kwa miaka yote

1       Paul Pogba      Man U      £89.3M (Sh Bil 251.8)

2       Gareth Bale Madrid £85.3M (Sh Bil 240.5)

3       Ronaldo Madrid    £80M  (Sh Bil 225.5)

4       Higuaín    Juventus £75.3M (Sh Bil 212.3)

5       Suárez               Barcelona £65M (Sh Bil 183.2)

 

Leave A Reply