The House of Favourite Newspapers

Ustaadh Wa Madrasa Ambaka Na Kumlawiti Mtoto Wa Miaka 9-Video

0

Tukio la kuhuzunisha na kusikitisha, limetokea katika eneo la Mburahati National Housing jijini Dar es Salaam, ambapo mwanaume anayetajwa kuwa mwalimu wa Madrasa, Ustaadh Swalehe Porojo, anadaiwa kumbaka na kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka tisa, ambaye ni miongoni mwa wanafunzi aliokuwa anawafundisha.

 

Mwandishi wetu Imelda Mtema, amefika mpaka Mburahati kufuatilia tukio hilo la kinyama na kuzungumza na wahusika.

Leave A Reply