The House of Favourite Newspapers

Utoaji Tinted Magari: Paul Makonda Atengua Agizo la Polisi Dar

0

“Nasitisha zoezi lililotolewa na polisi Mkoa wa Dsm la kuondoa tinted lililopangwa kuanza kesho hadi nitakapopewa na polisi hoja za msingi”

” Hii ni kwasababu kwanza, kuna magari yanakuja nchini yakiwa na tinted hivyo kumtaka mtu aondoe ni kumtaka atoe kioo. Pili, tinted ni ulinzi wa gari ili mtu asiweze kuona kilichomo ndani na kuvunja. Tatu, kuna watanzania wa mikoani wanakuja na magari tinted kwani hili ni katazo la Dsm tu hivyo hatuwatendei haki. Nne, wakina mama wanaweka tinted kwavile hawataki kuonekana wako peke yao kwani wanaweza kuvamiwa. Hivyo nimelisitisha zoezi hilo”
MH. PAUL MAKONDA (RC)

Leave A Reply