The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Binti Huyu Amshangaza MAGUFULI, Waziri AMELIA Hadharani!

Sumayya Juma Abdallah ni binti pekee wa Kitanzania katika Mashindano Maalumu ya 20 ya kusoma Quran Afrika na ambaye pia anaiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yanayoendelea katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

MBELE YA MAGUFULI: Kijana Mtanzania Kasoma QURAAN, Uwanja Wazizima!

Comments are closed.