The House of Favourite Newspapers

Video: Dk Mwaka Adaiwa Kumtimua Mpangaji Usiku, Amtolea Vitu Nje, Mke Wake Ashindwa Kuzungumza…

0

GLOBAL TV imefika kwenye nyumba aliyokuwa anaishi mke wa Dk Mwaka anayejulikana kama Queen maeneo ya Ilala Sharif Shamba jijini Dar ambapo mpangaji aliyepanga kwenye nyumba hiyo anadai kutolewa vitu vyake nje.

Mpangaji anadai kuwa suala la yeye kuondoka hapo hakuna shida ila mambo kama hayo yapo kimkataba siyo maneno maneno tu.

Leave A Reply