The House of Favourite Newspapers

Video: Global Habari Mei 16 – Wakuu Wa Mikoa Kuapishwa Mei 19

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atawaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi Jumatano ya Mei 19, saa 4:00 asubuhi badala ya Jumanne Mai 18 iliyotangazwa awali.

 

Aidha Rais Samia atawaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Majaji wa Mahakama kuu siku ya Jumatatu Mei 17, 2021 kuanzia saa 9:00 Alasiri.

 

Viongozi hao wataapishwa kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam na matukio yote yatarushwa moja kwa moja kupitia vyombo mbalimbali vya habari. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply