The House of Favourite Newspapers

Video: Haji Manara Amzawadia Zaiylissa Gari Jipyaaa – Aita Chuma Ya Mwaka

0

Haji Manara amemzawadia mpenzi wake Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, Zaylissah gari aina Nissan Dualis.

Haji amempa zawadi hiyo mpenzi wake Januari 18, 2024 alipokuwa akisherehea siku yake ya kuzaliwa na kumvisha pete mpenzi wake huyo.

Leave A Reply