The House of Favourite Newspapers

Video: Kajala Amwaga Machozi, Afanyiwa ‘Sapraizi’ Birthday Yake

0

Marafiki wa Kajala Masanja wamemsapraiz mrembo huyo kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumfanyia sherehe huku naye akizungumza maneno mazito juu ya mapenzi yake na rafiki yake Lamata Leah na pia kufunguka kuwa mwaka huu au ujao ataleta uhai mwingine duniani baada ya Paula.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply