The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Kumbe Hii Ndiyo Sababu Kuu ya Bongo Movie Kuporomoka Sokoni!

0

MWIGIZAJI, Muandaaji na Msambazaji wa Filamu Bongo, William Mtitu amekiri kuwa moja kati ya mambo yanayosababisha kushuka kwa soko la filamu za hapa  nchini (Bongo Movies) ni kutokana na wasanii wa tasnia hiyo kupenda kuendekeza mambo ya ngono zaidi kuliko kazi zao.

Jambo lingine alilozungumza Mdau huyo wa filamu ni kusuhu wasanii kuacha misingi yao ya kazi na kujiingiza kwenye siasa jambo ambalo linawafanya watumikie siasa badala ya kazi za sanaa hivyo kupoteza wigo wa kuandaa kazi zenye ubora na kumudu soko.

Mtitu ameyazungumza hayo wakati akifanya Exclusive Interview na Global TV Online hivyo amewaasa mambo ya msingi ambazo anaamini yatairudisha sanaa hiyo kwenze mstari.

Leave A Reply