The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Lema Afichua Dosari Daftari la Kura, Huenda Asigombee

MBUNGE wa Arusha, Godbless Lema, ameeleza kusikitishwa kwake na zoezi la uandikishaji la wapiga kura katika daftari la kudumu mkoani Arusha kwa madai kuwa halitoi fursa kubwa kwa wananchi kupata haki yao hiyo ya kujiandikisha na kwamba kwa dosari hizo huenda asigombee tena nafasi yake ya ubunge katika jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa 2019.

Kupata habari zaidi sikiliza video hapa chini.

huo.

Comments are closed.