The House of Favourite Newspapers

Video: Lema Akoshwa Na Rais Samia Kuwapungia Mkono Chadema Kwenye Mapokezi Yake – “Hatuwafundushi Kumtusi”

0


Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha na mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kwa wingi kumpokea Godbless Lema, mbunge wa zamani wa Arusha ambaye amerejea nchini Machi 1, 2023 akitokea Canada. Lema alikuwa nchini Canada uhamishoni tangu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2020 kwa kile alichodai kuwa ni kuhofia usalama wake.

HOTUBA NZITO ya WAJACKOYA MBELE ya MBOWE na LEMA, AELEZA MATESO ALIYOPITIA AKIUTAFUTA URAIS KENYA…

Leave A Reply