The House of Favourite Newspapers

Video: Mama Asimulia Mazito – “Nimeambiwa Mwanangu Amekufa”

0

MREMBO Aisha Abdala amezunguma na Global TV Online na kusimulia mkasa mzito unaomuhusisha mtoto wake wa kumzaa na mwanaume aliyezaa naye mtoto huyo. Penzi lilikuwa moto siku za mwanzo lakini kila kitu kilibadilika baada ya wazazi hao kutengana wakiwa tayari na mtoto mmoja, hali iliyopelekea kuwepo kwa zamu za kulea mtoto huyo.

Siku ya Siku baba wa mtoto alimchukua mtoto na kuishi naye kwa takribani mwaka mmoja huku kukiwa na danadana nyingi pale mama wa mtoto anapoomba kumuona mtoto wake.

 

Baada ya kuzungushwa kwingi, siku moja mama wa mtoto alipokea simu kutoka kwa moja wa ndugu wa baba wa mtoto akimpa pole za msiba na kudai kuwa mtoto amefariki baada ya kuugua na kulazwa hospitali. FUATILIA MKASA HUU… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply